jump to navigation

Nipe Habari

WAZIRI SMZ AZIDI KULIKOROGA

Waziri Hamza Hassan Juma

Waziri Hamza Hassan Juma

Waziri wa Nchi Afisi ya Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) na Mwakilishi wa jimbo la Kwamtipura Wilaya ya Mjini Unguja, Hamza Hassan Juma, ameibuka tena kwa kutoa kauli zenye utata ambazo zinazidi kuiweka pabaya SMZ mbele ya wananchi wa Zanzibar na dunia kwa ujumla baada ya kuwaambia wananchi wa kijiji cha Tumbatu, Jongowe, kuwa hawana akili kwa vile wengi wao hawakusoma na kupelekea wananchi hao kugoma kujiandikisha katika daftari la wapiga kura. Endelea kusoma habari hii

Advertisements
%d bloggers like this: